Nafasi za KaziNafasi za Kazi
  • Call for Interview
  • Job Opportunity
  • Public services Utumishi
Reading: TCU yafungua Dirisha la Tatu la Udahili kwa mwaka 2024/25
Share
Notification Show More
Latest News
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Makala Mbalimbali
Jinsi ya Kutumia P2 Kwa Usalama
Jinsi ya Kutumia P2 Kwa Usalama
Makala Mbalimbali
Jinsi ya Kubadilisha Kifurushi cha Azam TV kwa Simu
Jinsi ya Kubadilisha Kifurushi cha Azam TV kwa Simu
Makala Mbalimbali
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia Airtel Money
Makala Mbalimbali
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia Yas (Tigo Pesa)
Makala Mbalimbali
Aa
Nafasi za KaziNafasi za Kazi
Aa
Search
  • Call for Interview
  • Job Opportunity
  • Public services Utumishi
Have an existing account? Sign In
Copyright zetuforum | All rights are Reserved
Nafasi za Kazi > Blog > Education > TCU yafungua Dirisha la Tatu la Udahili kwa mwaka 2024/25
Education

TCU yafungua Dirisha la Tatu la Udahili kwa mwaka 2024/25

Admin
Last updated: 2024/10/05 at 3:32 PM
Admin Published October 5, 2024
Share
2 Min Read
SHARE

Table of Contents

Toggle
  • TCU yathibitisha kufungua awamu ya tatu ya Udahili mwaka 2024/25
MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

TCU imetangaza kukamilika wka udahili awamu ya pili na baadhi ya wanafunzi kuchaguliwa baadhi ya vyuo na kutakiwa vyuo zaidi ya kimoja na kutakiwa kuthibitisha, Ivo ivo Tum ya vyuo vikuu imetangaza kufungua awamu ya tatu ya Udahili kwa wanafunzi waliokosa nafasi kwa awamu mbili zilizopita.

TCU yathibitisha kufungua awamu ya tatu ya Udahili mwaka 2024/25

Baada ya kukamilika kwa awamu zote mbili za udahili, Tume imepokea maombi ya kuongeza muda wa kutuma maombi ya udahili kutoka kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), baadhi ya waombaji ambao hawakufanikiwa kupata udahili katika awamu zilizopita na pia vyuo ambavyo bado vina nafasi vimeomba vipewe muda kuendelea kudahili.

Taarifa Muhimu:

  • images (9)
    HESLB Majina ya Waliopata Mkopo 2024/25 | Jinsi ya Kuangalia
  • 20240928_183227
    HESLB zaidi ya Wanafunzi 21,509 Wapata Mkopo Awamu…
  • 20240924_165725
    NECTA Form Four Physics Past Papers pdf download

Hivyo, Tume imeongeza muda wa udahili kwa kufungua Awamu ya Tatu na ya mwisho ya udahili itakayoanza tarehe 05 hadi 09 Oktoba, 2024. Tume inawaasa waombaji ambao hawakuweza kutuma maombi ya udahili au hawakuweza kupata nafasi ya kudahiliwa katika Awamu ya Pili kutokana na sababu mbalimbali, watumie fursa hii vizuri kwa kutuma maombi yao ya udahili kwenye vyuo wanavyovipenda.

Aidha, Tume inaelekeza Vyuo vya Elimu ya Juu nchini kuendelea kutangaza programu ambazo bado zina nafasi. Waombaji udahili na vyuo wanapaswa kuzingatia utaratibu wa udahili wa Awamu ya Tatu.

Incase your browser not showing or failed to view attached PDF file above click here to view or download PDF file

Mapendekezo:

  • Jinsi ya Kuangalia Bima la Gari
  • Majina ya walioitwa kwenye usaili

Share this Article
Facebook Twitter Email Copy Link Print
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kutumia P2 Kwa Usalama
Jinsi ya Kutumia P2 Kwa Usalama
Jinsi ya Kubadilisha Kifurushi cha Azam TV kwa Simu
Jinsi ya Kubadilisha Kifurushi cha Azam TV kwa Simu
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia Airtel Money
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia Yas (Tigo Pesa)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia M-Pesa

Quick Link

CONTACT US 

ABOUT US

Copyright ©️ Zetuforum | All Rights are Reserved

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?