MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA
Tazama hapa Msimamo wa Kundi la Yanga CAF Champions League klabu bingwa kundi A ambapo kuna timu kama Al hilal, Tp mazembe, Mc Alger, na Yanga
Young Africans Sports Club (Yanga) ni moja ya vilabu vikubwa na maarufu nchini Tanzania, na pia ni mojawapo ya vilabu vyenye mafanikio makubwa katika historia ya soka la Afrika Mashariki. Ilianzishwa mwaka 1935, Yanga imekuwa kioo cha mafanikio na maendeleo ya soka nchini, na inajivunia historia ndefu ya ushindi wa makombe mbalimbali, ikiwemo Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania, na mafanikio ya kimataifa.
Msimamo wa kundi la Yanga CAF klabu bingwa – Kundi
Mapendekezo ya Mhariri