MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA
Leo Alhamisi Benki kuu ya Tanzania (BOT) ametoa orodha ya Application za mtandaoni zinazotoa Mikopo bila leseni ambazo zimefungiwa.
Jumla ya Application 69 zimefungiwa kujihusisha na utoaji wa mikopo pasipo kuwa na Kibali kutoka benki kuu ya Tanzania
Orodha ya Application za mikopo zilizofungiwa na BOT
Tazama picha hapa chini
Mapendekezo ya Mhariri