Nafasi za KaziNafasi za Kazi
  • Call for Interview
  • Job Opportunity
  • Public services Utumishi
Reading: Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia M-Pesa
Share
Notification Show More
Latest News
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Makala Mbalimbali
Jinsi ya Kutumia P2 Kwa Usalama
Jinsi ya Kutumia P2 Kwa Usalama
Makala Mbalimbali
Jinsi ya Kubadilisha Kifurushi cha Azam TV kwa Simu
Jinsi ya Kubadilisha Kifurushi cha Azam TV kwa Simu
Makala Mbalimbali
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia Airtel Money
Makala Mbalimbali
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia Yas (Tigo Pesa)
Makala Mbalimbali
Aa
Nafasi za KaziNafasi za Kazi
Aa
Search
  • Call for Interview
  • Job Opportunity
  • Public services Utumishi
Have an existing account? Sign In
Copyright zetuforum | All rights are Reserved
Nafasi za Kazi > Blog > Makala Mbalimbali > Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia M-Pesa
Makala Mbalimbali

Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia M-Pesa

Admin
Last updated: 2025/01/29 at 9:03 AM
Admin Published January 29, 2025
Share
1 Min Read
SHARE

Table of Contents

Toggle
  • Hatua Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia M-Pesa
MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katika makala hii fupi nitakuelekeza Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia M-Pesa. N card imeanza kutumika hapa Tanzania kwa wavukaji wa vivuko vya pantoni na mashabiki wa mpira wanaoenda kuangalia mpira viwanjani.

Watu wengi wanapata shida jinsi ya kuongeza salio kwenye N-card na hii kupelekea kuwepo na usumbufu wa kufika kwa mawakala na kuongeza salio, kuongeza mwenyewe salio kupitia M-pesa kutasaidia kuepusha umbufu huu na kupanga foleni kupoteza muda

Taarifa Muhimu:

  • Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
    Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
  • Jinsi ya Kutumia P2 Kwa Usalama
    Jinsi ya Kutumia P2 Kwa Usalama
  • Jinsi ya Kubadilisha Kifurushi cha Azam TV kwa Simu
    Jinsi ya Kubadilisha Kifurushi cha Azam TV kwa Simu
  • Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
    Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia Airtel Money

Hatua Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia M-Pesa

Ikiwa unahitaji kuongeza salio kwenye N-card kupitia M-pesa tafadhari fata hatua zifuatazo:

  • Piga *150*00#
  • Chagua 4 “Lipa Bill”
  • Chagua 4 “Namba ya Kampuni”
  • Weka Namba ya Kampuni “009009”
  • Weka Kumbukumbu Namba “Namba ya N-Card”
  • Weka Kiasi
  • Weka Namba ya Siri
  • Thibitisha Muamala

Hadi hapo utakuwa umehafanikisha kuongeza salio kwenye N-card kupitia Mtandao wa M-pesa na unaweza kuendelea kutumia.

Share this Article
Facebook Twitter Email Copy Link Print
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kutumia P2 Kwa Usalama
Jinsi ya Kutumia P2 Kwa Usalama
Jinsi ya Kubadilisha Kifurushi cha Azam TV kwa Simu
Jinsi ya Kubadilisha Kifurushi cha Azam TV kwa Simu
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia Airtel Money
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia Yas (Tigo Pesa)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia M-Pesa

Quick Link

CONTACT US 

ABOUT US

Copyright ©️ Zetuforum | All Rights are Reserved

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?