MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA
Majina zaidi ya 107 ya walioomba nafasi ya kazi chuo kikuu cha Afya Muhimbili wamefanikiwa kuitwa kwenye usaili. Makamu mkuu wa Chuo cha Afya Muhas amethibitisha Orodha hiyo ya Majina na kutoa baadhi ya vitu ambavyo wasailiwa wanatakiwa kuwa navyo, Baadhi ya vitu vifuatavyo:
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
- Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
- Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
- Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
[SOMA PIA: Nauli za Ndege Air Tanzania]
Orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili MUHAS
Kupata Orodha ya majina tafadhari bonyeza hapa chini: