Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) ni chombo muhimu nchini Tanzania kinachosimamia na kudhibiti taaluma ya uhasibu na ukaguzi wa hesabu. Bodi hii inahusika na kutoa vyeti vya kitaalamu, kusimamia maadili ya taaluma, na kuhakikisha kwamba wahasibu na wakaguzi wa hesabu wanazingatia viwango vya kimataifa katika kazi zao.
NBAA pia hutoa mafunzo, inatekeleza sheria na kanuni za uhasibu, na kuhamasisha uwajibikaji na ufanisi katika sekta ya fedha. Kwa upande mwingine, bodi hutoa ushauri kwa serikali na taasisi nyingine kuhusu masuala ya kifedha na uhasibu, hivyo kuchangia katika maendeleo ya uchumi wa nchi.
Nafasi za kazi Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA)
Kupata taarifa kamili kuhusu nafasi hii kazi tafadhari pakua File >>> BOFYA HAPA KUPAKUA PDF FILE LA NAFASI YA KAZI KUTOKA NBAA
Soma pia