Nafasi za KaziNafasi za Kazi
  • Call for Interview
  • Job Opportunity
  • Public services Utumishi
Reading: Orodha ya wachezaji wanaolipwa pesa nyingi tanzania 2024
Share
Notification Show More
Latest News
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Makala Mbalimbali
Jinsi ya Kutumia P2 Kwa Usalama
Jinsi ya Kutumia P2 Kwa Usalama
Makala Mbalimbali
Jinsi ya Kubadilisha Kifurushi cha Azam TV kwa Simu
Jinsi ya Kubadilisha Kifurushi cha Azam TV kwa Simu
Makala Mbalimbali
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia Airtel Money
Makala Mbalimbali
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia Yas (Tigo Pesa)
Makala Mbalimbali
Aa
Nafasi za KaziNafasi za Kazi
Aa
Search
  • Call for Interview
  • Job Opportunity
  • Public services Utumishi
Have an existing account? Sign In
Copyright zetuforum | All rights are Reserved
Nafasi za Kazi > Blog > Michezo > Orodha ya wachezaji wanaolipwa pesa nyingi tanzania 2024
Michezo

Orodha ya wachezaji wanaolipwa pesa nyingi tanzania 2024

Admin
Last updated: 2024/09/29 at 9:35 PM
Admin Published September 29, 2024
Share
3 Min Read
SHARE

Table of Contents

Toggle
  • Orodha ya wachezeaji wa 5 wanaolipwa pesa nyingi Ligi kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) kwa mwaka 2024
    • Stephane Aziz Ki
    • Clatous Chama
    • Ali Ahamada
    • Feisal Salum
MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katika Ligi Kuu Tanzania Bara, soka sio tu burudani bali pia ni biashara kubwa. Wachezaji wengi wanajitahidi kuonyesha talanta yao ili kuvutia timu na mashabiki. Lakini ni wachezaji gani wanaolipwa pesa nyingi zaidi mwaka 2024 katika Ligikuu ya Tanzania bara NBC?

Orodha ya wachezeaji wa 5 wanaolipwa pesa nyingi Ligi kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) kwa mwaka 2024

Katika makala hii, tutachunguza orodha ya wachezaji wanaolipwa pesa nyingi Tanzania. Tujue ni nani anayeshika nafasi hizo za juu.

Taarifa Muhimu:

  • Trent Alexander-Arnold
    Tetesi za Usajili Liverpool 2025: Ulaya usajili leo
  • Tetesi za Usajili Arsenal 2025 Ulaya
    Tetesi za Usajili Arsenal 2025: Usajili ulaya leo
  • Tetesi za Usajili Manchester United 2025
    Tetesi za Usajili Manchester United 2025
  • Tetesi za Usajili Chelsea 2025
    Tetesi za Usajili Chelsea 2025

Stephane Aziz Ki

Stephane Aziz Ki ni mmoja wa wachezaji bora katika Ligi Kuu Tanzania Bara anaechezea Timu ya Young africans (Yamga). Kijana huyu kutoka Burkina faso anajulikana kwa ujuzi wake wa kipekee na uwezo mkubwa wa kufunga mabao. Analipwa takribani tsh 30,000,000, Pesa anazolipwa zinaonyesha thamani yake katika timu na akichangia kwa kiasi kikubwa kwenye mafanikio ya klabu yake.

Clatous Chama

Clatous Chama amekuwa mchezaji muhimu katika Ligi Kuu Tanzania Bara anaechezea Young Africans (Yanga) akisajiliwa kutoka kwa watani wao wa jadi Simba sc. Ujuzi wake wa kucheza katikati ya uwanja umemfanya apate nafasi ya juu kwenye orodha ya wachezaji wanaolipwa pesa nyingi tanzania 2024, Inakadiriwa analipwa Tsh 28,000,000. Sifa yake ni uwezo wa kuleta ushawishi mkubwa kwa timu yake, akipiga pasi za kusisimua.

Ali Ahamada

Ali Ahamada ni mlinda lango mahiri anaechezea timu ya Azam. Anajulikana kwa ujuzi wake wa kukamata mipira na uwezo wa kuongoza safu ya ulinzi. Katika Ligi Kuu Tanzania Bara, anapata mshahara mzuri wa takribani Tsh 25,000,000. Kwa sasa Ali Ahamada hana maelewano mazuri na Timu yake hiyo ya Azam kitu kinachopelekea kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu

Feisal Salum

Feisal Salum mzaliwa wa Zanzibar anajulikana kama mmoja wa wachezaji wenye talanta kubwa katika Ligi Kuu Tanzania Bara anaechezea Azam fc. Ana uwezo wa kipekee uwanjani, na huchangia kwa kiasi kikubwa timu yake. Pesa anayopata inadhihirisha thamani yake kwenye soka la Tanzania huku ikisemekana analipwa Tsh 23,000,000. Hivyo, ni mchezaji muhimu sana ambaye anaweza kuleta mafanikio makubwa kwa klabu yoyote atakayochezea.

Orodha ya wachezaji wanaolipwa pesa nyingi tanzania 2024 inaonyesha wazi umuhimu wake katika tasnia hii.

Share this Article
Facebook Twitter Email Copy Link Print
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kutumia P2 Kwa Usalama
Jinsi ya Kutumia P2 Kwa Usalama
Jinsi ya Kubadilisha Kifurushi cha Azam TV kwa Simu
Jinsi ya Kubadilisha Kifurushi cha Azam TV kwa Simu
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia Airtel Money
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia Yas (Tigo Pesa)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia T-Pesa (TTCL)
Jinsi ya Kuongeza Salio Kwenye N-Card kupitia M-Pesa

Quick Link

CONTACT US 

ABOUT US

Copyright ©️ Zetuforum | All Rights are Reserved

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?