Tetesi za Usajili Chelsea 2025 . Chelsea Football Club ni moja ya vilabu vikubwa na vya mafanikio katika soka la Uingereza na duniani kote. Iliyoundwa mwaka 1905, klabu hii imejijengea jina la kutisha kwa ushindi wa mataji ya Premier League, FA Cup, na Ligi ya Mabingwa Ulaya. Klabu hiyo ina mashabiki wengi na inajivunia kuwa na historia ndefu ya mafanikio, ikiwa na wachezaji maarufu duniani kama Didier Drogba, Frank Lampard, na Gianfranco Zola. Chelsea inajulikana kwa mbinu zao za kipekee za uchezaji na mafanikio makubwa katika mashindano ya kimataifa, na imeendelea kuwa nguvu kubwa katika soka la kisasa.
Tetesi za Usajili Chelsea 2025
Ikia huu ni msimu wa usajili huku dirisha dogo la majira ya baridi limefunguliwa kuna kila aina ya Tetesi za Usajili Chelsea 2025 , baadhi ya majina mbalimbali ya wachezaji yameorodheshwa kwenye tetesi hizi kila eneo la uwanja.
Wachezaji wanaotarajiwa kusajiliwa chelsea
Chelsea walikua wanahitaji mshambuliaji wa kati mpya ila baada ya msimu kuanza na kuona mshambuliaji wao Nicolas Jackson anafanya vizuri wameamua kubadilisha mawazo na kuatupilia mbali uamuzi huo. Hivi sasa chelsea wa
Wachezaji Wanaotarajiwa Kuondoka chelsea
Baadhi ya wachezaji wanatarajiwa kuondoka klabuni hapo ni kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni majeraha ya muda mrefu pamoja na kushindwa kuonyesha uwezo, mmoka wa wachezaji ambao wanatarajiwa kuondoka baada ya majeraha ya muda mrefu ni Ben Chilwell huku mwengine akiwa ni Carney Chukwuemeka. Baadhi ya tetesi zikiwa zinasema pia Mshambuliaji machachari Christopher Nkunku na Axel Disasi nao pia wanatarajiwa kuondoka klabuni hapo.
Wachezaji wanaotarajiwa kurudi kwa mkopo Chelsea
Lesley Ugochukwu ni moja mchezaji ambaye alitolewa kwa mkopo kwenda Southampton, anatarijiwa kurudi klabuni hapo baada ya kufanya vizuri na kuonesha uwezo wake hibyo basi klabu ya chelsea imeona anafaa kurejea na kuwatumikia watoto wa darajani.
Ikia wengine wanarudi kwa mkopo basi inakuwa tofauti kwa Harvey Vale ambaye yeye ataendelea kusalia huko huko Sunderland hadi pale ambapo mkopo utakapo tamatika.