Makundi ya Shirikisho ya CAF Kwa mwaka 2024/25 yameshapangwa, na mashabiki wa soka nchini Tanzania wanatarajia kwa hamu kuona timu yao, Simba SC, ikicheza katika hatua hii muhimu. Timu mbalimbali kutoka sehemu tofauti za bara la Afrika zitashiriki, na kila moja ikilenga kufikia mafanikio makubwa.
Historia ya Simba katika Mashindano ya CAF
Simba SC ni moja ya timu kubwa na maarufu nchini Tanzania, ikijivunia historia ya mafanikio katika mashindano ya ndani na nje. Katika miaka ya hivi karibuni, timu hii imeweza kufanya vyema katika mashindano ya CAF, ikivuka hatua za makundi na kufika mbali zaidi. Msimu huu, Simba ina matumaini makubwa ya kufanya vizuri zaidi.
Timu Zitakazo Cheza na Simba hatua ya Makundi ya shirikisho CAF 2024/25
Katika makundi ya Shirikisho la CAF, Simba itakutana na timu mbalimbali zikiwemo zile zenye uzoefu na wengine wapya. Hapa kuna baadhi ya timu zinazoweza kukutana na Simba katika hatua ya makundi:
:
• ASEC Mimosas
• Stade Malien
• Al Masry
• CS Sfaxien
:
• Enyimba FC
• ASC Jaraaf
:
• CD Lunda Sul
• Constantine
• Orapa United
• Bravos do Maquis
• Stellenbosch
• Black Bulls
[SOMA PIA: Makundi ya CAF shirikisho]
Simba SC ina malengo makubwa katika msimu huu. Kila mwaka, lengo ni kufika mbali katika mashindano ya CAF na kujijengea jina barani Afrika. Kwa kuimarisha kikosi chao na kuleta wachezaji wapya, Simba ina matumaini ya kufanya vyema na kuvunja rek